Masterchuma
Member
- Apr 1, 2021
- 9
- 19
Umri umeandikwa hapo labda kama unahitaji mtu akusomee kwa sauti,Umri wako? We ni kijana au dingi? Kwani we huna mtoto?
usinitolee povu sana, wachumba wamo utapataUmri umeandikwa hapo labda kama unahitaji mtu akusomee kwa sauti,
Kijana, dingi au mzee ni wewe tu utakavyoamua kuniita
Mtoto ndio sina,
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Ila JFPole kwa upweke mkuu
Nyie mnaoamka mida hii mna fujo ๐คฃ
Huyu mchumba mbona kama ananifaa sema yupo mbali๐๐Nyie mnaoamka mida hii mna fujo ๐คฃ
Wewe na Harmful imekuwaje tena ๐ ?Huyu mchumba mbona kama ananifaa sema yupo mbali๐๐
๐๐hana pesa ya mahariWewe na Harmful imekuwaje tena ๐ ?
Ameniangusha sana ๐คฃ๐๐hana pesa ya mahari
Waoaji hawapo humu๐Ameniangusha sana ๐คฃ
Pole sana mabinti wa sasa ๐Waoaji hawapo humu๐