Dah..Ndio maana intake yetu mwaka huu naona watoto wa kike wengi wame apply ualimu. Kumbe unapata kazi mbili bila usumbufu.
Kila la kheri waalimu wa kike, ila sijasikia kama waalimu wa kiume wanapendwa au ni husband material pia.
Mwalimu wa "kiki" kweli wewe ni mwalimu wa vidudu,inaonesha jinsi gan hauko makini na mambo yako Walimu wa kike wamejaa fwaa ww huend benk nmb kipindi cha mshahara huwaon?kusimamia mitihan huwaon mpaka uje huku duu?