Mwalimu wa "kiki" ndio yuko vp uyo?mimi ni mwalimu kijana wa kiume natafuta mwalimu wa kiki mwenye umri uzio zidi miaka 25 kama upo tayal nicheck p.m
Mwalimu wa kiki? Ndo anakuaje huyo!mimi ni mwalimu kijana wa kiume natafuta mwalimu wa kiki mwenye umri uzio zidi miaka 25 kama upo tayal nicheck p.m
Mimi ni mwalimu kijana wa kiume natafuta mwalimu wa kiki mwenye umri uzio zidi miaka 25 kama upo tayal nicheck p.m
We ni mwalimu wa vidudu ama mwalimu wa karet...
Mwalimu wa "kiki" ndio yuko vp uyo?
Huyu jamaa atakuwa anatafuta mwalimu wa michezo(UMISHUMTA) shuleni kwake.Mwalimu wa kiki? Ndo anakuaje huyo!
Check hapohapo shuleni kwako
ha ha ha walimu wa kiume ni dhahabu huko vijijiniDah..Ndio maana intake yetu mwaka huu naona watoto wa kike wengi wame apply ualimu. Kumbe unapata kazi mbili bila usumbufu.
Kila la kheri waalimu wa kike, ila sijasikia kama waalimu wa kiume wanapendwa au ni husband material pia.