------- nini weweee, yani we ndo unatuona walimu ni makasha eeeh! eti nina elimu ya chuo kikuu, elimu ya chuo kikuu ndo mnyama gani? hiyo ndo elimu ya kutangaza hapa!
Ukioa mwalimu wa shule ya msingi hofu nyingi hakuna. Atatongozwa na nani? Walimu wakiume wenzake wote choka mbaya, Wanafunzi hamna kitu. Ukioa banker kilasiku anadili na watu wenye hela inawezekana labda wengine wamekuzidi....Amani lazima iwe mkononi hapo!