Nkashilingi
Member
- Jul 21, 2009
- 8
- 0
Hucheleweshi? duuuuu! Utakuja kuoa majini siku moja.Mpaka kufikia hapo ondoa tangazo mme umesha mpata nakuomba ulifute kabisaa hesabu umeshampata
fidel umeanza mzaha
Hucheleweshi? duuuuu! Utakuja kuoa majini siku moja.
Dada angu hapo vigezo vyote mm ninavyo.
Hivyo basi naomba tuwasiliane PM au nitumie email fidel80@jamiiforums.com
ha ha ha binam bwana.......kwani mail yake si ipo hapo mwandikie.....eeh wifi tushapata sie
At last Fidel anaweza kupata jiko, lol! naona wapwa tuandae pesa ya zawadi kwa huyu kabisaaa.ha ha ha binam bwana.......kwani mail yake si ipo hapo mwandikie.....eeh wifi tushapata sie
At last Fidel anaweza kupata jiko, lol! naona wapwa tuandae pesa ya zawadi kwa huyu kabisaaa.
Hehehe nimeiona ngoja niandike hawala huku nikiambatanisha na vielelezo muhimu. Natamani niende nae kwenye function ya Geoff.

Fide Fide Fide Fide
Hucheleweshi mwanawani nilidhani umeenda kwenye ajali kule ya moto ya sophia sijui raha towers tupate updates
Nikuambie kitu, hebu jaribu kuieka email address yake kwenye facebook hapo usearch unaeza kuta ni memba pale ukapata kumuona vizuri kwa picha kama ana vigezo baadhi alivyosema
Sasa wewe Fidel, siumepewa email address yake? Mbona na wewe unampa email address nyingine? Si uwasiliane naye moja kwa moja? Amesema yupo serious! Acha masiahara!Dada angu hapo vigezo vyote mm ninavyo.
Hivyo basi naomba tuwasiliane PM au nitumie email fidel80@jamiiforums.com
Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu.
Ni hayo tu kwa maswali zaidi waweza kuni email glory.gregory@yahoo.com
Naona mmesha mpata wifi yenu huyoo
Wifiii wifiiii wifi huyoo wifii