Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,243
Kuna wachache wamefanikiwa na wengi wamelizwa...Hata hivo nadhani hii njia hutumika pale ambapo njia nyingine zinaelekea kutozaa matunda (may be you lost many opportunities)..Kwa wenzetu wazungu ina work kwa kuwa huwa hawatembeleani,hawaendi kanisani na kazini hawaruhusiwi kuuza kahawa ni kazi kwa kwenda mbele..Ina maana we are so busy mpaka hatuwezi kukutana na kuchaguana pale tunapoona ni muafaka? But I learned one thing in life...times change therefore I must be flexible in order to accomodate the changes. Probably this works out well for some people!
Kuna wachache wamefanikiwa na wengi wamelizwa...Hata hivo nadhani hii njia hutumika pale ambapo njia nyingine zinaelekea kutozaa matunda (may be you lost many opportunities)..Kwa wenzetu wazungu ina work kwa kuwa huwa hawatembeleani,hawaendi kanisani na kazini hawaruhusiwi kuuza kahawa ni kazi kwa kwenda mbele..
Na siku hizi zipo online dating za kulipia ambazo unatoa details za ukweli na zinakuwa secured..[/QUOTE]
That is a business opportunity Zion Daughter...lets invest quickly before GP na magazeti yao ya udaku, spot it and make money out of it....
That is a business opportunity Zion Daughter...lets invest quickly before GP na magazeti yao ya udaku, spot it and make money out of it....
Well, I wish her all the best.....Ahahahaaa.Hiyo ni kweli..Na ni kweli Shigongo bado hajaistukia..Lakn tunakoelekea lazima hii biashara itakuwa inalipa..
Thats important...Well, I wish her all the best.....
Probably it can work...ingawa huwa na shida sana na hii approach!
kila la heri but kuwa makiniHabari wana jf,mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 27, nna elimu ya chuo kikuu,
kwa sasa nnafanya kazi katika taasisi binafsi. natafuta mchumba ambaye atakuwa mume wangu.
awe na umri angalau kuanzia miaka 32 na kuendelea .
sichagui dini wala kabila nko tayari kubadili dini.
awe tayari kupima UKIMWI.
Kwa maelezo zaidi mnaweza kuniPM. AHSANTEN
Hunishindi mie. Huwa najaribu kufikiria shida ni nini hasa? Kama tunakosea hata pale unapochagua kwa kuona na macho je kwa njia hii? Huenda nimezeeka sana! Inabidi tu kukubaliana na mabadiliko katika maisha na maendeleo kwa ujumla.
Ndo maana inakuwa vema kujua nini hasa sababu inayopelekea njia hii kuwa njia mbadala ya zile za kawaida tulizozizoea. I think wengine wana majukumu mazito sana hawana social life kabisa... Halafu angalia maneno yako hayo...uzee mwisho Chalinze huku mjini hakuna mzee.
Ambao tunatokea Zanzibar uzee mwisho wapi?
Kama nakujua vile?Join Date : 2nd December 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
KILA HERI MDALA
27yrs a chuo kikuu coleague more than 20r exactly 3yrs ,anafanya kazi hajakutana tu na isembwe lake tu jamani.Ina maana we are so busy mpaka hatuwezi kukutana na kuchaguana pale tunapoona ni muafaka? But I learned one thing in life...times change therefore I must be flexible in order to accomodate the changes. Probably this works out well for some people!
27yrs a chuo kikuu coleague more than 20r exactly 3yrs ,anafanya kazi hajakutana tu na isembwe lake tu jamani.