Kwa sisi wa miaka 30 ndio imekula kwetu, anyway nakutakia mafaniko ktk kusearch search kwako ili at last umpate huyo husby wako, ukifanikiwa usiache kutuarifu hapa jamvini.
nakutakia mafanikio mema ktk utafutaji wako
Join Date : 2nd December 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
KILA HERI MDALA
Siku hizi mambo yamebadilika sana.
All the best
Join Date : 2nd December 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
KILA HERI MDALA
thanks rejaoSiku hizi mambo yamebadilika sana.
All the best
naimani utafanikiwa omba mungu sana mana hamna kinacho shindikana mbele ya mwenyezi munguahsante prianka, niombee nipate mume bora.
Kiukweli ni ngeni katika jamii yetu na kupata kisichostahili ni rahisi sana...Probably it can work...ingawa huwa na shida sana na hii approach!
Kiukweli ni ngeni katika jamii yetu na kupata kisichostahili ni rahisi sana...