Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 23 nimehtimu chuo mwaka huu,nimeona nheshma kwangu iwapo ntakua nimetulia ktk ndoa yangu kuliko kuhangaika na maisha yasasa..Nahtaj mwanaume muislam,mpenda maendeleo,msikivu na mwenye upeo wa maisha,aliye tayar kurekebshwa pale akoseapo na aliyetayar nkosoa pale nkoseapo,,umri kuanzia miaka 24 yan asiwe mdogo kwangu...asiwe mlevi,...yeyote mwenye mapenz ya dhati ani PM...nipo serious sana.Asanten.
Tafuta MFINYANZI ujitengenezee unayemtaka alaf umjaze hivyo vigezo vyako.
Dah sifa zooooote ninazo ila hapo kwenye dini tu, je nikibadili na kuwa muislamu nitapokelewa? Na umri umeweka kuanzia 24 je kuishia ngapi?
Heeheeehee acha kumkatisha tamaa binti tena bado bikra kabisa, wacha nimsake nijizindulie
Kwa hiyo sisi tusio na dini tukawowe wapi?
Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 23 nimehtimu chuo mwaka huu,nimeona nheshma kwangu iwapo ntakua nimetulia ktk ndoa yangu kuliko kuhangaika na maisha yasasa..Nahtaj mwanaume muislam,mpenda maendeleo,msikivu na mwenye upeo wa maisha,aliye tayar kurekebshwa pale akoseapo na aliyetayar nkosoa pale nkoseapo,,umri kuanzia miaka 24 yan asiwe mdogo kwangu...asiwe mlevi,...yeyote mwenye mapenz ya dhati ani PM...nipo serious sana.Asanten.Email yangu ni luvmy19@gmail.com plz use my email mana PM zangu nashndwa kujb naambiwa mpaka niwe nimepost mara tano.samahann kwa usumbuf
Umeambiwa kama una-interest nenda email, atakwambia yote hayo!Wewe ni dini gani?
Unapenda maendeleo?
Wewe ni msikivu na mwenye upeo wa maisha?
Una umri gani?
Wewe unalewa?
Ungeyaeleza hapa kama ulivyoeleza hapo kwenye red.
Fine, mtakula jeuri yenu na midini yenu.muwowe msio na dini wenzenu.......
Umeambiwa kama una-interest nenda email, atakwambia yote hayo!
Nilikuwa namsadia tuu. Mie nasubiria tangazo lako tuu. nakwambia wala situmi PM. Nakuja huko huko Ushongo Mabaoni. LOL.
Fine, mtakula jeuri yenu na midini yenu.
Kwani mpolee alidrop interest?