Natafuta mchumba Muislamu

Natafuta mchumba Muislamu

conqurer

Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
8
Reaction score
1
Awe binti wa kiislam na asizidi umri wa miaka 27, aliyetayari aje PM kwa mawasiliano zaidi. Elimu yangu ya chuo kikuu, nafanya Kazi serikalini
 
mmmmmmmmmmmmmmm haya inshallah upate mwenye kheir na wewe......
 
Haya fursa hiyo, halaf baadae tuje tusikie msichana wa kiislam atafuta mchumba, ikiwa huyu kaka alietaka mchumba wa kiislam bado hajapata , hatutaeleweka, Tunakuombea upate mchumba mwenye kheri na wewe mfike malengo ya ndoa na mdumu humo.
 
kwani wew humfai?au ushadakwa
 
Awe binti wa kiislam na asizidi umri wa miaka 27, aliyetayari aje PM kwa mawasiliano zaidi. Elimu yangu ya chuo kikuu, nafanya Kazi serikalini

Unafanya kazi serikalini ni fisadi au? Ni PM tuwasiliane.
 
mkuu nakushauri Pm FaizaFoxy yuko na marafiki wengi wa kampuni.

swissme
 
Mie natafuta wa umri wako, mean over 30yrs - 40yrs.
Kama una kigezo hicho pls njoo PM fasta.
30's ila siko tayari kwa ndoa asante kwa offer ha ha ha ha lol, Mungu atakupa mke mzuri zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom