Natafuta mchumba/mpenzi

Njoo pm fasta
 
dini gani kama mkiristu, hachana na abari za kuolewa, fikiria kulea watt, wewe bado ujatosheka, we vipi tuliza kidude hcho ulee watt, dunia adaa, wtt wanakalibia kuanza kudu kumbe na mama unaitaji?
 
Upweke sio...! pole sana ila uwe makini linapokuja swala la mtu wa kuuondoa naye
 
Ntamudu vip kumpa mapenzi nakutunza familia?
mkuu hebu rudisha picha ni wew umeoa umezaa na mkeo watoto 2 mukaachana akakuachia watoto alafu unataka kuoa mke mwingine anaona watoto wako nimzigo utajiskiaje?au utawafukuza watoto wako ili uoe mke mpia?au utajiskiaje ikiwa hatawapenda hao wanao?tumuogope mungu mimi niviletu pm zimenishinda mfumo huu unanitesa kutumia ila ningemfata nimuoe tena kwa ndoa kabisa.hujui mtoto gani atakusaidia kesho
 
Mitoto ya kamba huijui wewe
 
tulizana mama..graph ilishafika kwenye maximum point ..poleee .. wakukuo ni pasua kichwa
 
Jaribu kumkumbuka boy wako wa kwanza kabla ya kuolewa yule ndio alikuwa na mapenz ya kwel kwako
 
mambo ya mtoto wako amempiga mtoto wetu wengine hatuyataki
 
Inaonekana huna kazi/ajira maalumu ndo maana wanasepa,kulingana na hiyo familia uliyonayo,pia punguza kilele wanaume huhitaji kubembeleza dada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…