njoooo pmHabari Wana JF,
Mimi nina miaka 34 na watoto wawili, niliachana na mme wangu huu ni mwaka wa nne sasa, ila hadi sasa sijapata mtu mwingine hasa wa kuaminika wote ninao wapata naona wadanganyifu, roho inaniuma kuwa sina hata wakunijali na mbaya zaidi upweke umezidi! vigezo na masharti ni awe mkweli, mwenye upendo, mwelevu,mstaarabu na anaejiheshimu na asiwe tapeli wa mapenzi basi.
Nashukuru
Najitegemea so sitarajii huyo mchumba nimevishe mzigo wanguVip kuhusu matunzo ya familia yako na mi mwenyewe? Mfano yaani!!!
Asante sanaPole sana...
naamanisha kweli.....Unamaanisha kweli au unatamani tu upate mtu wa hivyo?
Utapata tu.. wapo wengi, wanaokutamani...Asante sana
Habari Wana JF,
Mimi nina miaka 34 na watoto wawili, niliachana na mme wangu huu ni mwaka wa nne sasa, ila hadi sasa sijapata mtu mwingine hasa wa kuaminika wote ninao wapata naona wadanganyifu, roho inaniuma kuwa sina hata wakunijali na mbaya zaidi upweke umezidi! vigezo na masharti ni awe mkweli, mwenye upendo, mwelevu,mstaarabu na anaejiheshimu na asiwe tapeli wa mapenzi basi.
Nashukuru[/QUOTE
Ni-pm, ila na mimi nina mtoto mmoja
Mi nnamke na familia vip naweza kukusaidia??Najitegemea so sitarajii huyo mchumba nimevishe mzigo wangu
Kwa nn uliachana na mmeo na hao unaowaita wadanganyifu!
Inawezekana tatizo ni wewe mwenyewe
Kaa tafakari
Maana haiwezekani wote wawe wabaya tu
Hapana ila naomba uzidishe upendo kwa mkeo na familia yakoMi nnamke na familia vip naweza kukusaidia??
Pole sana dada, waaminifu hawapo ziku hizi, sema nakuombea upate atakeyekuheshimu (Anayekucheat bila wewe kujua)Se
Seriously watu kama nyie ghafla you become so judgemental, niliachana nae kwa sababu alikuwa sio mwaminifu, na hao wengine ninao ongelea sio wakweli kwani wengi wanakuwa waume za watu ila huficha....so I need some one ambaye pia is ready to love mtu mmoja na sio kijiji!
Mbuzi wew hapo juu kasema anajitengemea!Daa!! kweli utawala wa magu. hali ni mbaya Jamani jitokezeni mumsaidie huyu dada kulea watoto' pole sana dada utampata tu.