Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,709
- 32,464
addie r u serious?? naomba usitafute mchumba mitandaoni utajuta nakwambia. Bora umuombe Mungu na utumike mbele zake
Usimtishe mwenzio, mchumba unaweza kukutana nae popote na mkaenda sawa tu. Muhimu ni malengo yenu na maamuzi yenu.
Bint usivunjike moyo, watu wengi wamekutana kwenye kwaya kanisani au kwenye vyuo vya madrassa na bado ndoa zao ni ngumu na zimeshindwa.