Nichek hapa 0788532307
Wa kwanza
Weka picha kwanza , maelezo hayajitoshelezi , kabila lako bainisha.
Taja kabila lako watu wana hofu ya kununua mboga ya 10m
How older are you?
Umri wangu ni miaka 29, mkristo,elimu chuo, nimeajiriwa na niko morogoro.
Nimtakae umri 30-34,awe mkristo, mwajiriwa au mjasiriamali.
Mengine tutafahamiana zaidi kwa PM kwa anae hitaji.