Natafuta mchumba/mme

Natafuta mchumba/mme

mimireo

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
7
Reaction score
7
Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru, asante nawatakia siku njema
 
Baba wa binti zako hana sifa za kuwa mume?
 
Mhuu, wawili wengi, au watoto halitakuwa jukumu la mume? Ama ndo ya ukipenda boga na maua yanakuhusu!
 
mwenzenu anatafuta wa kumsaidia kulea,haya kazi kwenu.
 
Vipi baba wa watoto?
Nakutakia safari njema na kama umeokoka muombe haswa unaemuamini akubariki
 
Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru, asante nawatakia siku njema

Uko tayari kuzaa wengine wanne?
 
Narudia tena..wanawake msichezee maisha wakati wa usichana
 
Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru, asante nawatakia siku njema

kila la kheri
 
Kama umeokoka kwa nini umebikiliwa watoto wawili. Haya baba mtunza watoto karibia kulea mama aka degree
 
mimi toto napenda sana tena takuwa yangu kabisa,sasa wewe nafananaje sasa au taona wapi picha sasa pate kalkulate nafanya kazi wapi au taweza uza duka wewe eleza vizuri bana!hebu jieleze kwa kina
 
Watoto wawili, bado ndo unaanza degree, cpati picha huyo mchumba atakavyo kuwa na majukumu?kulea watoto na kusomesha
 
haahahahhahahaaaa kaaaaaaaaaazi kweli kweli
 
Wala usijisumbue ndugu yangu hao wasio na watoto tu nanga inapaa humu sasa wewe na watoto tena wawili si ndo kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom