Natafuta mchumba mlokole

Natafuta mchumba mlokole

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Tafadhali,

Mimi ni mwalimu wa secondary, najua yupo anaenifaa humu.

Ni pm kama upo tayari
 
tafadhali... mimi ni mwalimu wa secondary, najua yupo anaenifaa humu, ni pm kama upo tiyari

Unapimaje ulokole? Nasikia 'ulokole' ni kutoka kwenye 'giza' na kuingia kwenye 'nuru'. Sasa 'giza' lina namna nyingi kama vile uchangu doa, kubeba ukimwi. Je, umejaribu kwenye makanisa ya walokole ambako utawaona live na kiwango cha ulokole wao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom