Simba mweupe
Member
- Aug 31, 2014
- 61
- 20
Mm ni kijana nina miaka 24...kwa sasa npo chuo kikuu maeneo ya dar... ila kutokana na wanawake kuwa na vijitabia ambavyo wanaviiga wakishafika huku chuo hivyo mm meamua kutafuta mchumba atakayekuwa nje ya chuo hiki.naamin mke hupatikana sehemu yeoyote.......