Data given
Member
- May 8, 2014
- 68
- 11
umepata
Eeeeh Mungu akustiri na hao midume wanaotumia ID za kike kaka yangu usije liwa chiboga mwanawane.
Dah. Chiboga ni sooo.
Huko ofisini kwako hakuna watumishi wa serikali wa kike umri 18 - 25?
kijijini kwako hakuna, shule zote ulizosoma hakuna ulie elewana naye, kanisani kwako hakuna, mtaani unapoishi hakuna, kazini hakuna ila hawa wanaotumia majina feki na hamfahamiani ndio umelidhika nao! Nina mashaka na wewe mkuu!
Kama kweli serious unaumwa sio utani ehm muone daktari!
huko ofisini kwako hakuna watumishi wa serikali wa kike umri 18 - 25?
Kijijini kwako hakuna, shule zote ulizosoma hakuna ulie elewana naye, kanisani kwako hakuna, mtaani unapoishi hakuna, kazini hakuna ila hawa wanaotumia majina feki na hamfahamiani ndio umelidhika nao! Nina mashaka na wewe mkuu!
Kama kweli serious unaumwa sio utani ehm muone daktari!
HUMU NDANI MBONA HIVI?kuna watu wanakatisha nia hii inakera sasa!mbona wengine wamepata waume humu na wake humu?kwani walianzaje?ukijiona wee huwezi kufanikiwa usifikirie wote hawatofanikiwa wapo wenye nia zao za dhati kabisa humu na wanafanikiwa vizuri kabisa.tusipende kukatishana tamaa.
thatha mbona hata mimi natafuta.,jamaniiiiiiiiiiiiii............,....

Aisee ha ha ha shemales...watamuarafat ngumi jiweEeeeh Mungu akustiri na hao midume wanaotumia ID za kike kaka yangu usije liwa chiboga mwanawane.
Dah. Chiboga ni sooo.
thatha mbona hata mimi natafuta.,jamaniiiiiiiiiiiiii............,....
Aisee ha ha ha shemales...watamuarafat ngumi jiwe