Natafuta mchumba "mke wa kuoa"

Natafuta mchumba "mke wa kuoa"

baina_k

Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
9
Reaction score
3
Mimi Nina miaka 32 naishi Dsm ni mwajiliwa selikalini natafuta binti kuanzia miaka 25-30. Awe mwajiliwa pia elimu yake kuanzia stashahada na kuendelea pia awe mkristo. Napenda sana mwanamke mweye mawazo ya maendeleo. **** upo anifuate inbox. Seriously.
 
Hiyo staili ya kuanza kama vile mmekaririshwa, umesahau kusema jina lako Mkuu
 
Mimi Nina miaka 32 naishi Dsm ni mwajiliwa selikalini natafuta binti kuanzia miaka 25-30. Awe mwajiliwa pia elimu yake kuanzia stashahada na kuendelea pia awe mkristo. Napenda sana mwanamke mweye mawazo ya maendeleo. **** upo anifuate inbox. Seriously.

Wewe c una miaka 32.kuwa mkweli,kweli nyani gabu umemkamata ndi
 
Nenda chuoni utawapata wa Stashahada na Shahada yani kiongozi umri unaenda mwendokasi bado unaweka masharti ya mke au unapenda mteremko na wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom