Pole sana kwa makasiriko haya.
Nimezaliwa kkoo,naishi kkoo,duka langu lipo kkoo,acha niendelee kuishi kkoo..we baki na nyumba yako..
Umaskini wako wa kutaka kujenga haraka ili ujiskie vizuri na uwadharau watu mimi sina.
Anyway karibu dukani kwangu kujipatia machine mbali mbali za migahawani na bakery
INAUZWA - Mashine ya kukatia Nyama, Samaki na Mifupa
Tunawaletea fryer nzuri na imara za gas pamoja na umeme Fryer za gas zina kibiriti chake kwa ndani. Zinapata moto haraka Kila bakuli lina uwezo wa kuchukua lita 6 Bei: Double gas fryer 325,000Tsh Double electric fryer:220,000Tsh Single electric fryer: 130,000Tsh Single gas fryer: 220,000tsh...
www.jamiiforums.com