K Kevoo90 New Member Joined Jul 5, 2023 Posts 1 Reaction score 2 Jul 5, 2023 #1 Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba tukutane PM
Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba tukutane PM