Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 675
Wana JF especially girls,Nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda Diploma,Bachelor Degree, or masters...awe faithful.!.mie nina masters in international trade...aliye tayari ani PM....
Huyo uliyenae hafai kuwa mke????????????
Sifa zote ulizotaja ninazo ila hujasema wataka wa umri gani na sihitaji elimu yako,nahitaji kazi yako. Kama elimu ninayo ila sina ajira. Sasa itakuaje?Wana JF especially girls,Nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda Diploma,Bachelor Degree, or masters...awe faithful.!.mie nina masters in international trade...aliye tayari ani PM....
nikuamini kweli?mbn umesema ukweli kitu gani?maelezo yako hayajajitosheleza,urefu wako,miaka yako,kabila,dini,rangi maana tumeonywa baadhi ya wanaume.
Sifa zote ulizotaja ninazo ila hujasema wataka wa umri gani na sihitaji elimu yako,nahitaji kazi yako. Kama elimu ninayo ila sina ajira. Sasa itakuaje?
Huyo uliyenae hafai kuwa mke????????????
Pearl urefu kwenye mapenzi ya dhati wapi na wapi???? labda saaana dini..am a catholic,rangi..aaahhhh....hii haina akili...kabila mzanaki..upo hapo?
tusichanganye mada,love at 1st site ni tofauti na love ya mtandao,ww hapa hakuna anaekufaham so kukujua muonekano wako ni muhim nadhani kwa mtazamo wangu
wana jf especially girls,nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda diploma,bachelor degree, or masters...awe faithful.!.mie nina masters in international trade...aliye tayari ani pm....
Forever young!I wanna be!
tusichanganye mada,love at 1st site ni tofauti na love ya mtandao,ww hapa hakuna anaekufaham so kukujua muonekano wako ni muhim nadhani kwa mtazamo wangu
hivi hizi huwa zinasaidia nini kwenye mapenzi wanaojua nisaidieni???