Natafuta mchumba, dada mrembo

Julius Kaisari

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,176
675
Wana JF especially girls, nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda Diploma, Bachelor Degree, or Masters, awe faithful.

Mimi nina Masters in International Trade. Aliyetayari ani PM.
 
nikuamini kweli?mbn umesema ukweli kitu gani?maelezo yako hayajajitosheleza,urefu wako,miaka yako,kabila,dini,rangi maana tumeonywa baadhi ya wanaume.
Wana JF especially girls,Nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda Diploma,Bachelor Degree, or masters...awe faithful.!.mie nina masters in international trade...aliye tayari ani PM....
 
Sifa zote ulizotaja ninazo ila hujasema wataka wa umri gani na sihitaji elimu yako,nahitaji kazi yako. Kama elimu ninayo ila sina ajira. Sasa itakuaje?
 
nikuamini kweli?mbn umesema ukweli kitu gani?maelezo yako hayajajitosheleza,urefu wako,miaka yako,kabila,dini,rangi maana tumeonywa baadhi ya wanaume.

Pearl urefu kwenye mapenzi ya dhati wapi na wapi???? labda saaana dini..am a catholic,rangi..aaahhhh....hii haina akili...kabila mzanaki..upo hapo?
 
Sifa zote ulizotaja ninazo ila hujasema wataka wa umri gani na sihitaji elimu yako,nahitaji kazi yako. Kama elimu ninayo ila sina ajira. Sasa itakuaje?

hehehe..kazi yangu mchumi...kuhusu ajira yako sijauliza about that ,not one of the conditions..umri kuanzia 20-25
 
tusichanganye mada,love at 1st site ni tofauti na love ya mtandao,ww hapa hakuna anaekufaham so kukujua muonekano wako ni muhim nadhani kwa mtazamo wangu
Pearl urefu kwenye mapenzi ya dhati wapi na wapi???? labda saaana dini..am a catholic,rangi..aaahhhh....hii haina akili...kabila mzanaki..upo hapo?
 
wana jf especially girls,nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda diploma,bachelor degree, or masters...awe faithful.!.mie nina masters in international trade...aliye tayari ani pm....

hivi hizi huwa zinasaidia nini kwenye mapenzi wanaojua nisaidieni???
 
tusichanganye mada,love at 1st site ni tofauti na love ya mtandao,ww hapa hakuna anaekufaham so kukujua muonekano wako ni muhim nadhani kwa mtazamo wangu

kweli lakini haina maana kuwa binti atavutiwa na kukubali,nadhani kuna kuonana na kuongea...anyway,mimi hizi sifa wanazo-demand wasichana wa siku hizi ooooh mrefu,etc etc, zinanisumbua akili....na hii huwa ni dis-qualifctn...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom