Natafuta mchumba binti wa Kisukuma au Kinyamwezi

Natafuta mchumba binti wa Kisukuma au Kinyamwezi

Joined
Jan 12, 2015
Posts
55
Reaction score
19
Nilishaoa, ndoa ikavunjika 2013,miaka 36, mrefu wa 6ft, handsome, msomi nina degree, naishi Dar. natafuta binti wa Kisukuma/Kinyamwezi awe mrembo mweupe mrefu angalau 5.5ft, mkristo, elimu kuanzia kidato cha nne, umri 22-27, Wachaga pia mtafikiriwa.

Ni pm namba yako ya WhatsApp kama uko serious
 
Kumbe umempata, nilitaka nikuachie niliempiga chini mimi, toto la kisukuma jeupe limepanda hewani na lina umbo nadhan lingekufaa. Lakin ngmelizalisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom