Kwa umri wako na ndoa ya kikristo nakusihi tulia kwanza ufike 30yrs ndo unaweza kuoa binti wa umri huo na ukaweza kumvumilia masambasoti yake mana ww utakuwa ushaona mengi na busara ishaanza kujengeka kwako la sivyo owa wa umri wako tafadhari.
Ndoa zinazodumu kwa uhakika mkubwa ni tofauti ya miaka 7 hadi 10 kwa wanandoa.