- Thread starter
- #21
Ww upo serious c ukishapewa namba tu! Unaanza kutangaza matatizo, mara hela ya kusuka, vocha, ooh nina shida ya 20000.....sasa km ww c wa hivyo mume umepata.
mwanaume kumuhudumia mke/mchumba nikitu cha kawaida na niwajibu kama we huwez pole na utasaidiwa na wenzio