Natafuta mbwa wa kufuga

Natafuta mbwa wa kufuga

Serendipity

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2009
Posts
486
Reaction score
44
Naomba mtu yeyote mwenye vitoto vya mbwa (puppies) awasiliane nami .
Asili yake awe ni wa kigerman (german shepherd)
 
IMG_20140415_181004.jpg IMG_20140812_123249.jpg DSC03833.JPG DSC03897.jpg IMG_20140415_181004.jpg






Mbwa hao wapo pure , sema una pesa ngapi.
 

Attachments

  • 10447255_725636104141247_1121095280_n.jpg
    10447255_725636104141247_1121095280_n.jpg
    72.9 KB · Views: 157
Mkuu hawa mbwa bado unao? Nahitaji mmoja.Kama wapo pm bei na details zingine tufanye biashara.
 
Mimi pia nipo Dar ila swala la bei ni lako coz wewe ndio unauza so niambie bei kama nitaweza tufanye biashara
 
Mimi pia nipo Dar ila swala la bei ni lako coz wewe ndio unauza so niambie bei kama nitaweza tufanye biashara

Mkuu sio mimi nuuzJi mimi nahiji pia.
Ukiwapata au kusikia wapo pahala nijuilishe tukaxhukue nahitaji wawili.
 
mkuu na kama nikitaka kuja kumpandikiza jike wang inakuaje?
kupandikiza ni laki tu sio pesa mingi , option utatatoa mtoto ila itadepend na tempereamtents za mbwa wako jike
 
Back
Top Bottom