masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,372
- 19,241
Hahahaaa...... So binadam tumewazid mbwa kwa tabia mbaya sio??Ukipata huyo jike mdogo waweke pamoja tu..Mbwa hawana tabia za binadamu za kubaka watoto..
Binadamu tunatabia mbaya wengine hata siku za hedhi wanataka tena kwa lazima..Mbwa wao mpaka siku zao kujamiana zifikeHahahaaa...... So binadam tumewazid mbwa kwa tabia mbaya sio??
Malaya wa kununua wamekuwa adimu mitaani mpaka umeamua utafute jibwa uwe unajisevia home? duuuh!!! hii hatarii....!!! Waziri wa maliasili na utalii akufuatilie ili akutumbueNina dume hapa na kufungiwa linaonekana limezidiwa
Nahtaj jike kama ni mdogo mdogo ingependeza zaidi
Nimfuge mpaka awe mkubwa ndo niwachanganye
Mbwa wa kiswahli tu hawa wa kawaida
Kama upo dar nitakufata popote
Kama unauza pia weka bei
Ukipata huyo jike mdogo waweke pamoja tu..Mbwa hawana tabia za binadamu za kubaka watoto..
liasi alitasumbua tena kwa nye**e
Alivyo na ugwadu atalamba nakwambiaUkipata huyo jike mdogo waweke pamoja tu..Mbwa hawana tabia za binadamu za kubaka watoto..
Mkubwa wa saiz kama angekua binadam ningesema yupo stej ya kuoaNina dume hapa na kufungiwa linaonekana limezidiwa
Nahtaj jike kama ni mdogo mdogo ingependeza zaidi
Nimfuge mpaka awe mkubwa ndo niwachanganye
Mbwa wa kiswahli tu hawa wa kawaida
Kama upo dar nitakufata popote
Kama unauza pia weka bei
Habari!
Mimi ninao wawili wakubwa majike pekee hawajawahi kuzaa lkn nahitaji dume japo wapandwe tu wazae kwani nahitaji wafikie wanne kwa ajili ya ulinzi. Sasa wewe mbwa wako ni mkubwa na wa aina gani?