Micro chip kwaajili ya nini?Kuna jamaa ni Dr of veterinary medicine nimemtumia tangazo lako amesema anao wako installed na micro chip anauza laki 4, amenitumia picha zimeshindwa kuatach mtafute kwa namba yake 0767763959
Hahahhahahhahahha Hamna bana,nataka wa urembo tu!!Nikionaga demu anaulizia au anataka mmbwa, huwa napata mashaka.
Huwa mnawafundisha kulamba papuchi.
Yupo mkoa/mji gani?Kuna jamaa ni Dr of veterinary medicine nimemtumia tangazo lako amesema anao wako installed na micro chip anauza laki 4, amenitumia picha zimeshindwa kuatach mtafute kwa namba yake 0767763959
Za kawaida,sio mbwa koko hawa arifu,,mbwa mwenye utii na heshimaIzi bei si mchezo [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama huyuWakuu mna Rottweiler
Mkuu akabadilika vipi mkuuNadhani hata mbwa koko ukimtunza vyema anaweza kubadilika akawa Germany Shephard.
Umenifanya nicheke km mwehu hapa dah!Nadhani hata mbwa koko ukimtunza vyema anaweza kubadilika akawa Germany Shephard.
Asee! Hizo bei hao mbwa na chakula wanakuwa wanajinunulia wenyewe au nahangaika tena kuwalisha?Puppy wa miez 4 wapo wanne, wawili (madume) hawa naweza kukuuzia
Kila mmoja utapata kwa 2.5 mil
Yupo pia jike mmoja wa miaka 2, na ana ujauzito.
Huyu anaenda 6.2 million
Unaeza mnunua huyu ukapata puppy wa kutosha
Huyo huyo mkuu ,atanisumbua Kwa namna gani kakaRottie watakusumbua
Huwa ni wakorofi sana
Usipompa matunzo mazuri na mafunzo mazuri kwake sio shida kukurarua hata ww bosi wake,Pia hawapendi kuchanganyika na mbwa jamii nyingine na wanapokutana nao ngumi huwa kawaida tu.Huyo huyo mkuu ,atanisumbua Kwa namna gani kaka
Ok Nimekuelewa mkuu. Embu nitafutie huyo Rottweiler kaka maana hapa napoishi wameshaniibia power window mara mbili mkuu wanaruka ukuta wakati Mvua inanyeesha usiku .vipi Kwa kazi ya ulinzi si anafaa mkuu ?Usipompa matunzo mazuri na mafunzo mazuri kwake sio shida kukurarua hata ww bosi wake,Pia hawapendi kuchanganyika na mbwa jamii nyingine na wanapokutana nao ngumi huwa kawaida tu.
Puppy wa miez 4 wapo wanne, wawili (madume) hawa naweza kukuuzia
Kila mmoja utapata kwa 2.5 mil
Yupo pia jike mmoja wa miaka 2, na ana ujauzito.
Huyu anaenda 6.2 million
Unaeza mnunua huyu ukapata puppy wa kutosha
Mkuu budget yangu Ni ndogo kaka .hizo bei zako zinaua kabisaaNaona German shepherd wamekuwa bei gali kuzidi Rottieweilers
Huyo huyo mkuu Rottweiler Au yule mwingine nimemsahau jina ila anaanza na herufi Bo ,huyo Rottweiler budget yangu Ni 400000 awe mdogo,Anafaa but Germany shepherd ndo poa zaidi maana ana akili nyingi,mtiifu na mwenye kuelewa commands mbalimbali ila huyo unayemtaka mh mkuu mwisho utakuja kumlima bullet nahisi.
Mkuu budget yangu Ni ndogo kaka .hizo bei zako zinaua kabisaa