iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,941 Aug 25, 2014 #1 Nahitaji Mbuzi wa kisasa wanaozaa mapacha mimi nipo Mwanza
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,451 Reaction score 631 Aug 25, 2014 #2 Mbuzi wa kisasa anatoa maziwa au nyama
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,941 Aug 25, 2014 Thread starter #3 Sita Sita said: Mbuzi wa kisasa anatoa maziwa au nyama Click to expand... Napendelea wa nyama mkuu,ukanda huu maziwa ya mbuzi hayajazoeleka na ndio maana nataka wa nyama lakini wawe wanazaa mapacha ili after miaka mitatu niwe na stock ya kutosha
Sita Sita said: Mbuzi wa kisasa anatoa maziwa au nyama Click to expand... Napendelea wa nyama mkuu,ukanda huu maziwa ya mbuzi hayajazoeleka na ndio maana nataka wa nyama lakini wawe wanazaa mapacha ili after miaka mitatu niwe na stock ya kutosha