Natafuta mbolea ya kuku, nipo Kigamboni

Natafuta mbolea ya kuku, nipo Kigamboni

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
Habari wakuu..

Natafuta sehemu nayoweza kupata mbolea ya mavi ya kuku nzuri na bei poa. Nalimia kigamboni na ninahitaji viroba 200+.

Kama unafahamu sehemu naweza pata naomba nisaidie contacts pls.

Asante
 
Unalima nini...[HASHTAG]#ASHANGEDELE...[/HASHTAG]

ova
 
Njoo kimara ukanda wa wafugaji utapata au nenda kitunda kwa wakulya mzee humu wengi sio wafugaji wapiga story na ufugaji wa kwenye karatasi tu mi ningekuita ila ndo nimeingiza kuku cku sio nyingi
 
Back
Top Bottom