Natafuta mbia wa kuchimba Tanzanite mererani

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,209
Reaction score
5,445
Nimebahatika kupata block ya kuchimba madini aina ya Tanzanite katika eneo la mererani. Eneo langu lina urefu wa mita 80 na upana wa mita 50. makaratasi yote yanayotakiwa ninayo. Natafuta mbia ili tuanze uchimbaji maana mtaji wangu umekata kutokana na urasimu wa kupata eneo. Kama kuna mtu yuko interestested tuwasiliane kwa namba 0717332349 au email audax.kamara@yahoo.com, usi pm tafadhali. Piga simu au andika email. Asante.
 

Ongera mkuu ila uckate tamaa ungejaribu kucheki na wa2 wa nje ya nchi.kama wachina wanawekeza sana kwenye tanzanite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…