Wadau wa Kilimo nipo Kongowe - Kibaha natafuta mbegu ya kiroba nzuri ya kutosha heka tano yaani vipande/vipandikizi 20,000. Mashariti mbegu iwe imekomaa isipungue umri wa miezi 9 shambani.
Mbegu za kiroba zipo Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele Mtwara. Utazipata bila wasiwasi. Unaweza kuwapigia simu yao kwanza ili kupata taarifa kabla hujaamua kufunga safari