Kwetu Iringa
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 355
- 89
Hodi wanaJF!
Natafuta mashine za kutengeneza CRISPS na POPCORN. Nipo Dar.
Najua MABUMBE alitangaza humu kuwa anauza popcorn machines. Nimejaribu kuwasiliana naye lkn amekuwa unresponsive licha ya mm kumpa contacts zangu.
Nisaidieni jamani