Natafuta Mashine ya Tv aina ya TLC Smart

Natafuta Mashine ya Tv aina ya TLC Smart

Mhakiki

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
2,389
Reaction score
2,116
Wakuu wasalamu.
Kama kicha Cha HABARI kinavyojieleza.
Kama Kuna MTU yeyote mwenye mashine tajwa hapo juu tv nch 32 naomba tuwasiliane pm ili tufanye biashara.

IMG_20200316_175621_817.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok,
Pia jaribu kuzunguka kwa mafundi unaweza kuta zile zilizopasuka kioo watu wamezitelekeza lakini mother board nzima.
 
Back
Top Bottom