nexus 5x ina tatizo la boot looping yan haiwaki ikafika mwisho na wakati mwingne haichaji kabisa.
imeshaflashiwa lakini haijasaidia chochote wla kureset haisaidii chochote.
fundi mweny uhakika wa kuitengeneza kwa maeneo ya dar pls anicheki 0620533017 bei tutaelewana tu maana naihitaji sana sina mawasiliano wiki ya tatu hii na sina mpango wa kununua simu kwa sasa..natanguliza shukrani zangu