Sina uhakika kama wanayo lkn kama upo dar jaribu kwenda pale shekilango karibu na traffic lights kuna jengo linaitwa business millennium park uliza Nile machinery au polytechinic machinery ni wachina wanauza mashine tofauti tofauti nyingi.
Kiukweli kwa upande wa taarifa za Mashine na viwanda vidogo vidogo kwa hapa jamii forum tunakwama na hii inaelezea kwamba tutakua wachuuzi wa bidhaa za nje kwa muda mrefu kama tusipobadili fikra.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.