Natafuta Mashine ya Kuoshea Magari

Natafuta Mashine ya Kuoshea Magari

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,204
Reaction score
99,943
Wapendwa, ni wapi nawezapata machine nzuri ya kuoshea magari ambayo pressure yake iko juu na ni durable, sitaki ya mafuta nataka ya umeme. Je kwa hapa Dar nawezaipata wapi? Mpwa CYBERTEQ upo unisaidie na hili pia? Natanguliza shukrani za dhati.
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa, ni wapi nawezapata machine nzuri ya kuoshea magari ambayo pressure yake iko juu na ni durable, sitaki ya mafuta nataka ya umeme. Je kwa hapa Dar nawezaipata wapi? Mpwa CYBERTEQ upo unisaidie na hili pia? Natanguliza shukrani za dhati.

Heshima kwako Mpwa.
Inategemea unataka ya ukubwa gani kaka, kwa Dar utapata GAME kama alivyosema mdau hapo juu.
Vipi, unataka kuongeza huduma ya kuosha magari pale ofisini kwetu?
 
asante sana sana, nitapitia hapo leo, Barikiwa sana Mpwa wangu
Nenda mlimani cty katika duka la GAME mana nlinunua mashine kwa 165,000T.Shs ya 110Bar which means Pressure ya 110 na nlikuta nyngne ya 140Bar na zote znatumia umeme
 
Wapendwa, ni wapi nawezapata machine nzuri ya kuoshea magari ambayo pressure yake iko juu na ni durable, sitaki ya mafuta nataka ya umeme. Je kwa hapa Dar nawezaipata wapi? Mpwa CYBERTEQ upo unisaidie na hili pia? Natanguliza shukrani za dhati.

hi! ulipata? sh ngapi?
 
Mpwa nenda mtaa wa kisutu/ gerezani kule naonaga wana mashine na spea zake ila sijawahi ulizia kam ni kama hizo unazotafuta za magari au unaweza kuagiza toka japan wanakutumia mpaka hapa unapata mzingo wako ingia alibaba uagize huko utapata ndani ya miezi2 au mmoja
wapendwa, ni wapi nawezapata machine nzuri ya kuoshea magari ambayo pressure yake iko juu na ni durable, sitaki ya mafuta nataka ya umeme. Je kwa hapa dar nawezaipata wapi? Mpwa cyberteq upo unisaidie na hili pia? Natanguliza shukrani za dhati.
 
Kumbe mpwa ana ofisi ya magari au ndo pale panaitwa motor centre kijitonyama?
heshima kwako mpwa.
Inategemea unataka ya ukubwa gani kaka, kwa dar utapata game kama alivyosema mdau hapo juu.
Vipi, unataka kuongeza huduma ya kuosha magari pale ofisini kwetu?
 
Samahani mkuu hiyo ni laki na sitini na tano au milioni moja sijakuelewa mkuu?

Nleleweshe
nenda mlimani cty katika duka la game mana nlinunua mashine kwa 165,000t.shs ya 110bar which means pressure ya 110 na nlikuta nyngne ya 140bar na zote znatumia umeme
 
Mkubwa pressure yake ikoje? Iko poa? Uwezo wake ukoje?
 
Back
Top Bottom