Bado natafuta mtu. Sasa watu wengi badala ya kunieleza anachoweza nifanyia ktk biashara yangu, watu wananitumia cv zao kwa watsapp. sasa mm cv yako itanisaidia nini. Mi sihitaji cv yako nahitaji nijue una uwezo wa shawishi vipi wafu. Km umesomea marketing nadhani utakuwa umefundishwa hayo. Sasa napata wafu wamesomea mechanical, civil, nursing sasa we wa nursing na marketing wapi na wapi