Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

ney2nyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
200
Reaction score
69
Habari zenu jamani,

Napenda sana marafiki wa kuchart nao na kubadilishana mawazo ya maendeleo ili maisha yasonge.. walonizidi umri watanifaa zaidi, umri wang miaka 24

Karibuni
 
Haya dogo Mbilinyi, ww ni jinsia gani na utafuta marafiki wa jinsia ipi? Be specific bwana
 
Umeolewa mumeo asije akanuna kuna watu wanachat alfajiri mpaka alfajiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom