Think Bigg
Member
- Sep 15, 2015
- 23
- 2
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24, urefu 165cm, maji ya kunde, mwili wa wastan, mkristo, elimu yangu kdato cha 6 nimejiajir, naish Dar es salaam Natafuta marafik umri kuanzia miaka 20-30 elimu kidato cha nne na kuendelea, jinsia yoyote, urefu. 160 -170cm