Natafuta Marafiki

Natafuta Marafiki

Huo uarafiki unaousema hapa ukifika PM unageuka nakuambia, labda sio jf ninayoijua mimi
 
unahitaji marafiki wa ukweli au wa uongo? please fafanua
 
Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM

Mmh watu wako busy na changamoto za maisha, shule watoto familia nk sidhani kama watapata huo muda wa kubadilishana mawazo na kuanza kutengeneza urafiki!! Mayb wapo
 
Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM

Nime ku PM tayari!Naomba namba yako nikupigie tafadhali!Nipo Dumila-Morogoro
 
Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM

mtaan kwako hakuna marafiki?
Kama umeshindwa kudumisha urafiki na watu wa karibu utawezaje wa mbali? Au njia ya kutafuta mchepuko hvyo
 
Mie urafiki wetu usiwe na mipaka tu,if ok.karib
 
Hata mm nataka rafk wa kupeana sapot humu ndan.bas mm na wewe tuwe marafk.mm n mdada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom