Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Jan 2, 2013 Thread starter #21 King'asti said: Sasa mbona mkali hivyo kakangu, kuwa mpole marafiki utawapata tu. Ungesema na hobbies zako manake asije akajiombesha urafiki Madame B ukawa wewe ni sheikh ama mchungaji. Utakuwa na kazi ya kumuombea tu. Click to expand... hahahahaa dada kwanza naomba uilejeshe avatar yako ya kijeshi jeshi haya yote wewe ndio unaenisababishia kuwa mkali MADAME B wapi jamani mathcom said: Watakuogopa raia, hebu fafanua zaidi, rafiki wa keyboard, halisi, au yupi huyo.......... Click to expand... atakae niogopa jua huyo si rafiki wa kweli Dena Amsi said: Duh hiyo blue hapo mie choka kabisa umekuwa mkali hivyo mpaka nimeogopa hata kukutumia PM Click to expand... dena amsi dada yangu ukiruhusu maswali wataanza oooh! Unapenda kula nini,umeoa au kuolewa,unaingiza sh,ngapi kwa siku,mwezi au kwa mwaka nk nk Arushaone said: watu8 jamaa si alisema yeye beberu? au hujainyaka maana ya ME? Click to expand... uwiii jamaa yangu anataka kuniangusha tena kwa kuniswalisha swali kama hilo charminglady said: daddy naona uzee unakujia vibaya.... hivi ile miwani yako haipo??? Click to expand... charminglady utafukuzwa nyumbani kwa kutokuwa na nidhamu ya kumuuliza dady maswali kama hayo
King'asti said: Sasa mbona mkali hivyo kakangu, kuwa mpole marafiki utawapata tu. Ungesema na hobbies zako manake asije akajiombesha urafiki Madame B ukawa wewe ni sheikh ama mchungaji. Utakuwa na kazi ya kumuombea tu. Click to expand... hahahahaa dada kwanza naomba uilejeshe avatar yako ya kijeshi jeshi haya yote wewe ndio unaenisababishia kuwa mkali MADAME B wapi jamani mathcom said: Watakuogopa raia, hebu fafanua zaidi, rafiki wa keyboard, halisi, au yupi huyo.......... Click to expand... atakae niogopa jua huyo si rafiki wa kweli Dena Amsi said: Duh hiyo blue hapo mie choka kabisa umekuwa mkali hivyo mpaka nimeogopa hata kukutumia PM Click to expand... dena amsi dada yangu ukiruhusu maswali wataanza oooh! Unapenda kula nini,umeoa au kuolewa,unaingiza sh,ngapi kwa siku,mwezi au kwa mwaka nk nk Arushaone said: watu8 jamaa si alisema yeye beberu? au hujainyaka maana ya ME? Click to expand... uwiii jamaa yangu anataka kuniangusha tena kwa kuniswalisha swali kama hilo charminglady said: daddy naona uzee unakujia vibaya.... hivi ile miwani yako haipo??? Click to expand... charminglady utafukuzwa nyumbani kwa kutokuwa na nidhamu ya kumuuliza dady maswali kama hayo
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Jan 2, 2013 Thread starter #22 Madame B said: King'asti hulali? Au ndo uko Chama la Walala Naked Usiku Kucha (CHAWANAUKU)? Huyo mtafuta marafiki tumpe Jumba la Sanaa ajichagulie. Click to expand... hahaha
Madame B said: King'asti hulali? Au ndo uko Chama la Walala Naked Usiku Kucha (CHAWANAUKU)? Huyo mtafuta marafiki tumpe Jumba la Sanaa ajichagulie. Click to expand... hahaha