Natafuta marafiki wa kuchati nao

Na katoko ni nani? Mbona hapa jf kuna jukwaa la chit chat? We unataka wadada tu, naenda Kyue Instagram wamejaa kibao
 
Last edited by a moderator:
kwani johnson bado hujaoa tu????
 
Alafu mkisha chat. Dah kuna gear nyingine kupata dem ni kazi sana.
 
unataka kuboostiwa ..... cona bar wapo...
 
Anza tu kuchat nao utawapata , ni watu wa kawaida tu km tunaofanya nao kazi.
 
Habari,

Kwa jina naitwa Johnson na miaka 31 naishi Dar.

Natafuta marafiki wakike wa kubadilishana mawazo na kushauriana.

Wenye umri wa miaka 18-32.
Una miaka 31 tangu uanze kuishi dar au umri wako ndio miaka 31?
Kwani wewe ni shoga?
 
Mwaka huu tarehe 17 April uliweka bandiko unahitaji mke wa kukuzalia mtoto na ukaandika kuwa una umri wa miaka 28,leo tarehe 15 july umefikisha umri wa miaka 31.
Kwahiyo ndani ya miezi mitatu umeongezeka umri wa miaka mitatu.kwa maana hiyo itakapofika this time next year utakuwa na miaka 43.
Hakika wewe ni kiumbe wa ajabu zaidi ya sana.
 

Hahaaa una keep record umetisha
 


Mkuu uko vizuri,big up sana
 
Ha haa!! Thats why I love JF. Imejaa vichwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…