Natafuta marafiki wa kuchat nao

Jiunge Facebook au Marafiki dot com hadi kuna chat room za marafiki wa kuchat.
 
Oh sorry wadau nilifikiri nimeandika kwenye jukwaa la chit-chat lol!
 
kaah jamaa kasha dnd0?sha .!!!. kisa kaona ugonjwa wake.ha ha haaaaaa.
 
we umeona uchi hapo?...dar joto!

uchi maana yake sio nyeti tu ni sehemu muhimu ya mwili iliyoachwa wazi. lakini kama ndio style ya kupunga upepo dar poa tu mbona maendeleo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…