Natafuta marafiki wa kiume

Natafuta marafiki wa kiume

Nenda milembe utawapata wengi kama wewe

swissme
 
Humu inaonesha watoto wengi Sana! Sasa kuanzia miaka 36 kuna mzee hapo?!
 
Urafiki wa masharti si mzuri maana ipo siku utachoka masharti uliyojiwekea sijui utaelekea wapi!
 
dikay

Humu jf hawamo wako kijijin kwenu
 
Last edited by a moderator:
Wakiwa bado wanalipa wanairnga sana baada ya kuwa route ya Kariakoo kila mtu anaenda na kurudi, wanatafuta wakupunguzia mawazo.
Mwisho msichana kuringa ni 21 baada ya hapo huna wakumringia na watoto wanavyozaliwa wazuri aiku hizi.......

Ukiona mtu anatafuta mtu mtandaoni jua hashikiki huyo mtu tena ni hatari kuliko hatari yenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom