Natafuta marafiki wa kiume

Natafuta marafiki wa kiume

Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single.

Umri huo nakushauri tafuta njia uingie CDM maana huko kuna boyfriend wa miaka 74 na girlfriend wake ana 49.
 
Umri huo nakushauri tafuta njia uingie CDM maana huko kuna boyfriend wa miaka 74 na girlfriend wake ana 49.[/QUOT


Hii comment naomba ionwe kule jukwaa la siasaa
 
Sasa kama ni marafiki kwann wawe single?inahusika nn na urafiki wenu au mm ndo mwehu sijaelewa?


Nahisi mtoa mada Upo sahihi. Anamaanisha wakiwa ni waume za watu atakosa uhuru wakutokanao, kuchati kwa mipaka, kuonana kwa mipaka hivyo hapendi usumbufua. Ni mtazamo Wangu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom