Natafuta marafiki wa kiume

Natafuta marafiki wa kiume kuanzia miaka 38 mpaka 50,wawe single.

Weka basi maelezo binafsi /Cv yasaidie wenye nia katika kufanya maamuzi.

Ila wanaume single wa miaka 50 wapo kweli?!
 
Tutapanga mstari sisi marafiki wenye ndoto za kukugegeda siku za usoni za urafiki wetu.

Haya naku-pm mama,nianzishe libeneke mie...mapemaaaaa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…