Natafuta marafiki wa kike na wa kiume wanaojielewa

I do have both self-respect and self-awareness,i can be your friend.By the way kesho nina safari ya Mwanza halafu ntaelekea Geita ila sijui nauli ya Mwanza mpaka Geita ni shilingi ngapi?Na gari za kwenda Geita zinafanya kazi mpaka muda gani?Nisaidie wewe mwenyeji..Friend in need is a friend indeed.
 
Nadhani kwa sababu wewe ni mgeni
Maximum uwe umefika kamanga angalau mida ya 9
Sina uhakika na barabara kuoka hapo hadi Sengerema kama ni Lami
Lakini toka Sengerema hadi Geita ni Lami

Ukipita Busisi mzunguko mrefu japo barabara full lami

Thank you for your help,i wish i could GoogleEarth all the places that you mentioned. Anyway nashukuru sana kwa kunisaidia.One more question, kutoka Dar mpaka Mwanza kwa gari kama Green Star inaweza kuchukua muda gani?
 
Mimi najiheshimu na najielewa/tambua pia.
Angalia kama unafikia vigezo vyangu tuwe mabeste. .
1. Uwezo wako wa kufikiri uwe juu kama mawingu ili nijifunze toka kwako.
2. Uwe na kazi, mambo ya kukopana kopana sifagilii.
3. Uwe unavutia ili iwe rahisi kukutambulisha kama rafiki yangu tena kwa mbwembwe, sio wote tuwe na sura chachu.
4. Usiwe unafupisha maneno kama cc,ww,mm,ki2,xaxa n.k. . . . kozi ya hiyo lugha nilifeli.
5. Uwe creative ili nifaidike na urafiki wetu.
6. Usiwe na mke, naogopa kupigwa.
7. Uwe unajiamini ili nikikutania usilie.
8. Uwe unapenda ukweli ili nikikupa usichukie. . . .
 
Inaondoka 12.00 am sharp kufika Mwanza kuanzia saa 3 usiku kama imewahi
japo kuna magari yahayowahi nadhani kufika
lakini speed yake roho mkononi
Kama Allys, Mohamed trans, na Zuberi

Lizzy bebi nimeipenda,Mx
 
We kumbe huwezi kuwa rafiki yangu hata kidogo :tongue:
 
Inaondoka 12.00 am sharp kufika Mwanza kuanzia saa 3 usiku kama imewahi
japo kuna magari yahayowahi nadhani kufika
lakini speed yake roho mkononi
Kama Allys, Mohamed trans, na Zuberi

Thank you sasa naweza kupanga ratiba vizuri.Once upon a time that Allys thing overtaken us as if we were at speed zero...Nitajaribu kupanda nikiwa narudi a bit of a rollercoaster ride sounds like fun.
 
Inaondoka 12.00 am sharp kufika Mwanza kuanzia saa 3 usiku kama imewahi
japo kuna magari yahayowahi nadhani kufika
lakini speed yake roho mkononi
Kama Allys, Mohamed trans, na Zuberi

We Kongosho unafanya kazi stendi nini? Usikute ndo wewe uliniuziaga ticket ya 18000 kwa 28000 eti ni luxury bus. Alafu kumbe safari isiyo na misukosuko inachukua muda mfupi tu? Sie tuliondokaga stendi saa nne asubuhi, ila Mwanza tukaondoka saa nane tukafika Dar kesho yake saa nane mchana. Sijui kama ntakaa nitembelee tena pande hizo.
 
Mimi najiheshimu na najielewa/tambua pia.
Angalia kama unafikia vigezo vyangu tuwe mabeste. .
1. Uwezo wako wa kufikiri uwe juu kama mawingu ili nijifunze toka kwako.
2. Uwe na kazi, mambo ya kukopana kopana sifagilii.
3. Uwe unavutia ili iwe rahisi kukutambulisha kama rafiki yangu tena kwa mbwembwe, sio wote tuwe na sura chachu.
4. Usiwe unafupisha maneno kama cc,ww,mm,ki2,xaxa n.k. . . . kozi ya hiyo lugha nilifeli.
5. Uwe creative ili nifaidike na urafiki wetu.
6. Usiwe na mke, naogopa kupigwa.
7. Uwe unajiamini ili nikikutania usilie.
8. Uwe unapenda ukweli ili nikikupa usichukie. . . .

Namba 3 inaweza ikafanya mtu asirudi tena kwenye thread yake ikiwa ni sura uji..
 
Kazi kweli kweli, ukishakuwa rafiki wa Kongosho huwezi kuwa rafki yangu....urafiki wa mashaka sipendi....!
 
hata nikirudisha na 10% ?!?! wajameni nitaponea wapi sasa?? ndio maaana wote wananikimbia kwa sababu ya mwisho mpaka leo sijalipa ;-)
Hehehehehe UTAJIJU.
Kama unataka mkopo nenda benki. . .
 
Back
Top Bottom