Natafuta marafiki wa kike na wa kiume wanaojielewa

makomimi

Member
Sep 28, 2011
35
5
Natafuta marafiki jinsia zote ila wawewanajielewa na kujiheshi pia.

NOTE: Sihitaji urafiki wa kimapenzi, hii ni kwa akina dada watakaoamua kuwa marafiki zangu.
 
mokamimi, ongea sasa sio unakata kauli wakati sie tunakusemesha.

Afu nitumie basi sato, naona uko mwanza
Wale wa leo leo pale mwaloni.
 
usijali kongosho nitakutumia kwa ndege ya jioni so kuwatari kupata kitu cha ziwa victoria.kitu ambacho hujawahi kukitest tangu wamekuleta duniani.
 
Nipo hapa rafiki ninejiheshimu ila sijielewielewi vile, kama vipi nieleweshe.
 
Nikwambie kitu
Ukiwa unamjibu mtu fulani
Kama unatumia komputa
gonga kwenye koment yake upande wa kulia chini
Palipoandikwa 'Reply with quote'

Kama unatumia simu
Nenda kwenye komenti ya mtu unayemjibu
upande wa kushoto chini
gonga 'reply'

Afu andika utakacho.
tuko pamoja kuanzia and nitakufundisha how to be you.
 
Nikwambie kitu
Ukiwa unamjibu mtu fulani
Kama unatumia komputa
gonga kwenye koment yake upande wa kulia chini
Palipoandikwa 'Reply with quote'

Kama unatumia simu
Nenda kwenye komenti ya mtu unayemjibu
upande wa kushoto chini
gonga 'reply'

Afu andika utakacho.

Nimekupata kijana your so smart, and tenx for that.
 
Nipo hapa rafiki ninejiheshimu ila sijielewielewi vile, kama vipi nieleweshe.

Ninaposema mtu anaejielewa namaanisha mtu ambaye anaishi yeye kama yeye, yani hapritendi kuwa some 1 ambaye kamuona kwenye tv or anywhere else.nataka rafiki ambaye anapenda kuonyesha nayepia ana kitu ambacho kitanifanya nimkumbuke atakapokuwa mbali na mimi. Pia mtu anaejielewa huwa siyo snitch mfano mzuri ni kongosho, katambua tatizo langu ni nini afu kanichana kwa roho safi. nadhani utakuwa umeelewa.
 
I thwea in the name of gazatte mi ni rafiki wa nguvu kwelikweli kupita woote. Ila sina uhakika na kujielewe waweza nisaidia plssssssss!!!
 
Back
Top Bottom