Natafuta mapenzi serious

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
514
Mm ni kijana 23 natafuta mwanamke amabaye Yuko na ndoto ya kupata mwanaume ambaye siku zote atakuwa anajivunia na anayejua thamani halisi ya upendo

Vigezo educated angalau form six

Hofu ya mungu

Anayejua kujalii
Na

Anayeamini mapenzi ni zaidi ya pesaa

Karibu dm
 
Kila la kheri.
Ila december hii utapata wengi mkuu, chunga na uchunge zaidi madhee
 
Mm ni kijana 23 natafuta mwanamke amabaye Yuko na ndoto ya kupata mwanaume ambaye siku zote atakuwa anajivunia na anayejua thamani halisi ya upendo

Vigezo educated angalau form six

Hofu ya mungu

Anayejua kujalii
Na

Anayeamini mapenzi ni zaidi ya pesaa

Karibu dm
Watu hamjuii kusoma au ttz ni uelewaaa yaaan duuuh wabongo bana
 
Mm ni kijana 23 natafuta mwanamke amabaye Yuko na ndoto ya kupata mwanaume ambaye siku zote atakuwa anajivunia na anayejua thamani halisi ya upendo

Vigezo educated angalau form six

Hofu ya mungu

Anayejua kujalii
Na

Anayeamini mapenzi ni zaidi ya pesaa

Karibu dm

Au sio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom